UNAPOFIKIRIA juu ya faida na vikwazo vya kutatua matatizo ya uratibu wa jamii kupitia taratibu za masoko ya filamu, ni muhimu kuzitupilia mbali baadhi ya hoja za uongo zinazolazimishwa miongoni mwetu. Ninaposema hoja za uongo nakusudia maneno ambayo kutokana na ukweli ulio dhahiri hupita hivihivi bila hata ya kuwa na haja ya kuhoji au kuhitaji uthibitisho.tunachotakiwa nikuwana umoja katika soko nakukusanya nguvu kwa pamoja, pia tuwe tuaangalia je hizi film zetu zina ujumbe au tona toa tu kama mchuzi tu tuzingatie maadili na misingi ya jamii zetu
No comments:
Post a Comment